KIJUE KISA CHA DARASSA KUPATA AJALI

darassa-cmg

Habari za asubuhi mpenzi msomaji ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vizuri, pia nawapa pole kwa wale ambao  hawakuweza kuupokea mwaka 2017 wakiwa wazima wa afya.

Mada yangu ya leo ambayo nimeipa kichwa cha habari, ”Kijue kisa cha Darassa kupata ajali”, imegusia mambo mbalimbali yaliyopelekea msanii nyota huyu wa muziki wa kizazi kipya kupata ajali akiwa na rafiki zake.

Wahenga husema,”ajali haina kinga”, msemo huu umebeba maana kubwa sana ambayo inahitaji utulie ili kuweza kuuelewa kwa ufasaha walichokuwa wakimaanisha hawa mababu zetu waliotangulia mbele za haki.

Tumekuwa tukiona ajali nyingi zikitokea ambazo zimekuwa zikisababishwa na uzembe wa madereva, hali ya barabara, wanyama wavukao, ulevi, uvutaji wa madawa ya kulevya na imani za kishirikina.

Nikija kwenye kisa hiki cha Rapa Darassa kupata ajali ya gari iliyotokea wilaya ya Kahama mkoa wa shinyanga, wakati akielekea kufanya onyesho la muziki akiwa ameambatana na dairekta wake, hanscana na prodjuza wake Abba Process.

Baada ya kufanya mahojiano na Ostadh Sheikh Shariff Nguumali kupitia namba zake 0655 46 04 56  aliweza kunielezea kinagaubaga  kisa na chanzo cha ajali.

Aliniambia siku zote ajali inapotokea lazima kuwepo na chanzo chake, lakini alipoangalia chanzo cha ajali ya Darassa aliweza kuona mambo mengi sana hasa kutokana na karama aliyojaliwa na Mwenyezi Mungu.

“wanasema kusoma huwezi hata picha huoni, nilikaa chini nikamsikiliza darassa ambaye alikuwa dereva siku ya ajali, akadai walishangaa kuona gari likipoteza muelekeo na kuanguka kwa takribani mara tatu”, alisema Sheikh Shariff.

Aliongeza : “Nyota ya darassa imekuwa ikizidi kung’aa siku hadi siku hasa kutokana na dua alizokuwa akimfanyia, hali iliyopelekea kutengeneza maadui wengi ambao wamekuwa wakihangaika usiku na mchanga kutaka kuishusha nyota yake”.

“Lakini kutokana na dua na nyota yake kuweza kupewa nguvu na uimara, zoezi la kutaka kukatisha ndoto zake hazikuweza kuzaa matunda, ndio maana ukaweza kuona hakuna hata mmoja kwenye ajali ile iliyepoteza maisha”.

Ostadh Sheikh Shariff Nguvumali amekuwa akiwasome dua wafanyabiashara wakubwa, viongozi wa serikalini, wasanii na watu mashuhuri na wamekuwa wakizidi kufanikiwa kila kukicha.

Kama unahitaji kusafishwa nyota, kusomewa dua, mvuto wa biashara au unasumbuliwa na mapepo na mashetani, wasiliana nae kwa simu namba : 0655 46 04 56 .  

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s