JINI WATOTO : KIUMBE HATARI ZAIDI
Hii ni aina ya majini ambao humvaa binaadam yoyote yule na kumsababishia madhara makubwa katika mwili wake. Majini hawa ni watoto wakijini na muda mwingine huweza kuwa ni majini wakubwa […]
Hii ni aina ya majini ambao humvaa binaadam yoyote yule na kumsababishia madhara makubwa katika mwili wake. Majini hawa ni watoto wakijini na muda mwingine huweza kuwa ni majini wakubwa […]
Bikra ni utando wa asili anaozaliwa nao mwanamke unaotenganisha mlango wa mji mimba ‘Uterasi’ na uke wake
Jopo la wanasayansi wa tiba mbadala wamegundua kwamba, endapo mtu mwenye upungufu wa nguvu za kiume akatumia baadhi ya matunda kwa utaratibu maalum, huweza kusaidia kuimarisha nguvu za kiume kwa […]
Katika mada yetu ya leo tutaangazia baadhi ya mambo yanayoweza kuashiria kama nyota yako imeibiwa au kuchafuliwa. Vipo vitu vingi vinavyochangia kuibiwa nyota yako na kupelekea kuharibiwa, kuchafuliwa na kufa […]
Hii ni moja ya ndoto hatari maishani inayoashiria kwamba kuna tatizo kubwa katika nyota yako, ikiwa na maana ya kutumika kwa nyota yako kichawi pasipo wewe kuweza kufahamu. Hapa maisha […]
Kila mtu amezaliwa na ndoto zake ambazo amekuwa akizitamani kabla ya kutoweka kwa pumzi yake ya mwisho awe amekwishatimiza. Wapo wanaotamani kuwa watu maarufu kama vile wanasiasa, waigizaji, wanamuziki, wanamitindo, […]
Sio rahisi kukifahamu kipaji chako kupitia nyota yako na ndio maana unaweza ukasikia watu wakisema mtu fulani amekufa na kipaji chake. Kwenye nyota kuna faida nyingi za kuweza kujua kipaji […]
Ifahamikie kwamba majini kama jinsi walivyo viumbe wengine, hutokea kutamani kuwa kwenye mahusiano ya mke au mme wa kibinadamu, hali hii hupelekea kumtafuta ampendae na kufunga ndoa wakati mwingine bila […]
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuhusiana na wale watu ambao wamekuwa wakiota mambo au vitu vizuri kila mara, lakini ajabu vitu hivyo vimekuwa havitokea katika uhalisia wa maisha. Kitu cha […]