HATIMAYE WEMA SEPETU AMSHUKURU MTAALAM HUYU

Mshindi wa taji la Miss Tanzania 2016 ambaye pia ni muigizaji wa filamu nchini, Wema Abraham Sepetu, amefanikiwa kurudi kwenye chati yake kama hapo awali baada ya kutumia fursa yake kufanya uwekezaji katika sekta ya uuzaji wa nguo.

Wema 3

Mlimbwende uyo ameonekana siku za usoni akilitangaza duka lake linalofahamika kama “Little Sweetheart” ambalo huusika na uuzaji wa nguo za watoto wadogo wa jinsia yote.

“Kiukweli Wema Sepetu mambo yake yameanza kumnyookea, anauza sana”, alisikika mmoja wa wateja waliotoka kufanya manunuzi ya nguo za watoto kwa ajili ya msimu huu wa sikukuu.

Wema 1

Wema Sepetu akiwa dukani kwake na mtoto wa mteja

Blogu ya ASILI ZETU haikuona haya kujipenyeza na kutaka kupata ufukunyuku zaidi kuhusiana na kinachozungumzwa na wadau. Akiongea pasipo kupepesa macho, kaimu meneja wa Wema alifunguka kama ifuatavyo.

“Kiukweli tumefanya jitihada kubwa hasa ya kumrudisha Madaam(Wema) kwenye chatim, hasa ukizingatia na maskendo sambamba na kesi zilizokuwa zinamkabili, ila tutakuwa wachoyo kama tusipomshukuru PANGA LA SHABA kwa kazi kubwa aliyofanya”, alisema Meneja huku akiondoka

Tulipomtafuta Panga la shaba kupitia simu yake ya kiganjani +255 683 02 59 06 alisema kwa ufupi kwamba Wema ni mteja wake mzuri na amekuwa akiwasaidia mastaa kibao kurudisha nyota zao na wengi wao wamefanikiwa

Wema2

Wema 4

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s