UJUE UMUHIMU WA SWADAQAH

Quran

Mtume Muhammad (Swalla Allahu Alayhi Wa Sallam) katika kuellezea kwa upana maana ya neno “Swadaqah” ambayo Muislamu anatakiwa kuitoa akasema:

  • Tabasamu lako usoni kwa nduguyo ni Swadaqah
  • Kuamrisha kwako mema na kukataza kwako maovu ni Swadaqah
  • Kumuongoza kwako njia mtu katika ardhi(nchi) ya upotevu hilo ni Swadaqah
  • Kuondosha kwako njiani udhia, mwiba na mfupa, hilo(kwako) ni Swadaqah
  • Kumtekea kwako maji nduguyo, kwako ni Swadaqah
  • Kumsaidia kwako mtu dhaifu wa uoni kuongoza njia, (Hilo nalo) kwako ni Swadaqah.

Blogu ya Asili Zetu inawatakia Waislam na watanzania wote heri ya mwaka mpya 2019.

Advertisements

2 responses to “UJUE UMUHIMU WA SWADAQAH

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s