ZIJUE AINA ZA CHALE TOCHI AU CHALE ZA KICHAWI

Mtu anaweza akashangaa, Chale tochi ni nini? Chale tochi ni mihuri ambayo wanayopigwa wanadamu na wachawi. Lengo nia na madhumuni ni kuweza kuutumikia uchawi pasipo wao kuweza kujijua. Yaani unaweza kuta unaitwa mchawi mtaani, ukajiuliza kwanini naitwa mchawi wakati sifanyi uchawi?

Uchawi Image

Basi hiyo ndio chalé tochi. Kazi yake ni kutoa habari kwa mchawi husika baada ya kukupiga chalé katika uso wako au mwili wako. Popote utakapokwenda basi mchawi anakuwa anakuoana, mchawi anajua unaenda sehemu fulani na unafanya jambo fulani.

Lakini chalé tochi hizi baada ya kupigwa unaweza ukatoka hapa Tanzania ukakimbilia labda Marekani, China au Uarabuni, nje ya bara la Afrika basi wachawi wa kule wanakuona huyu ni mtumishi wa wachawi kutokana na wewe una kitambulisho ni chalé ambazo umepigwa katika mwili wako.

Chale hizi pia huwa zinatoa taarifa kwa mchawi, mfano umeenda kwa mganga, dokta au sheikh ukamwambia unahitaji akutibu tatizo fulani, basi kwa kuwa wale wachawi hukuona.

Unakuta wewe unaenda nyumbani umepewa dawa lakini ukifika nyumbani ile dawa inakuwa inaharibika na maradhi yanakuwa yako palepale. Lakini chalé hizi baada ya kupigwa katika mwili wako, ndio unajikuta unatumia dawa lakini huponi.

Leo hii wenzako unaweza ukaenda não sehemu wanatumia dawa wanapona lakini wewe unatumia dawa huponi, kuna mwingine unakuta ana tatizo la uzazi kila kukicha anatafuta unafuu lakini hapati, mwingine anatafuta maisha lakini Maisha yake hayana uafadhali, kuna mwingine anatafuta kazi lakini hapati kazi.

Pia kuna chale ambazo mtu anaenda kwa mganga anachanjwa mwilini, hizo ni tofauti, lakini kuna chale ambazo mtu anaweza akala usiku akaamka akajikuta amepigwa chale mwilini.

Huenda ikawa mikono amechanjwa au miguuni, jua hizi zinahusiana na hizi chalé za kichawi na athari kubwa ambazo utazipata na ni utambulisho kuwa tayari umeingizwa kwenye shughuli za kichawi.

Chale hizi ni tofauti na ambazo mtu huwa anapigwa kwenye mila zao, kuna makabila wanapigwa chalé za kikabila mfano wamakonde hupigwa chalé usoni na kwenye miili yao, hizo ni tofauti kabisa na chale za wachawi.

Sheria yake Kwanza zifutwe, baada ya kufutwa hizo chale ndipo wewe utaweza kupona, lakini utajijuaje una chale? Na huyo uliyemfuata akutibie atajuaje kama wewe uma chalé? Maana yake chale hizi zinatambuliwa na wale watu ambao mwenyezi Mungu amewapa vipaji maalum vya utambuzi wa matatizo haya.

Wasiliana na mtaalam bingwa PANGA LA SHABA : 0683 02 59 06 kwa huduma zaidi

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s