MGANGA ALIYEMUOKOA ‘DIAMOND’ STEJINI SUMBAWANGA ATOBOA SIRI

Diamond Platnumz

Wakati Tamasha la muziki la Wasafi Festival likizidi kuchanja mbuga katika baadhi ya mikoa nchini Tanzania, hali imekuwa sio shwari kwa mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva ‘Diamond Platnumz’ baada ya kukumbwa na majanga.

Ishu hiyo ilitokea wikiendi iliyopita katika uwanja wa Nelson Mandela mkoani Sumbawanga ambapo mwanamuziki huyo alikuwa akikonga nyoyo za mashabiki waliofurika kumshuhudia, lakini ghafla akateleza na kuanguka.

Akiongea na blogu nambari moja ya masuala ya tiba za asili na jadi, Mganga nguli CHAWI KONGWE amesema kwamba kama isingekuwa tambi alilomfanyia msanii huyo kabla ya kupanda jukwaani basi ingekuwa balaa jingeni.

“Unajua Sumbawanga ni mkoa ambao nimezaliwa, naufahamu vizuri sana, watu wa huku sio wa mchezo mchezo, bahati yake Diamond na wenzake waliweza kuniona mapema kabla ya kupanda jukwaani, ila wangethubutu kupanda bila kinga kile kishindo huenda kingeweza kupoteza uhai wake”, alisema CHAWI KONGWE

CHAWI KONGWE amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake mkubwa wa kusaidia watu masuala mbalimbali kama vile mahusiano, biashara, kinga dhidi ya uchawi na majini, anapatikana kwa simu namba 0659 32 10 90.  Wote Mnakaribishwa

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s