ZIFAHAMU AINA ZA NUKSI NA MATIBABU YAKE

Mtu akisema kama ana Nuksi maana yake ni kwamba mtu huyu kila jambo lake alitakalo haliwi au kila anachotaka kukifanya hakienda kama vile anavyotarajia au kupanga.

Image1

Hata kama watu watakaa wakapanga mpango au biashara wa kwenda kupata pesa, alafu kwenye ule msafara akijumuika mtu mwenye nuksi na yeye akaenda, basi hiyo pesa huko haiwezi kamwe kupatikana.

Nuksi husababishwa na mambo mengi sana ambayo kimsingi huenda mengine tunapitia pasipo kujua kwamba vitu hivyo vinatusababishia Nuksi katika maisha yetu. Hivyo nimekuorodheshea vyanzo vya nuksi hapo chini.

(1). KULOGWA : Kuna nuksi ambayo inasababishwa na kulogwa. Mtu anaweza kulowa ili asifanikiwe katika maisha yake yote hapa Duniani. Analogwa nuksi tu kiasi ambacho yeye hana atakalolifanya akafanikiwa au zuri atakalosema watu wakamuelewa.

(2). MIZIMU : Nuksi nyingine ni ya Mizimu. Mizimu ni majini kama walivyo majini wengine, isipokuwa majini hawa huenda waliishi miaka mingi kama ilivyo kwa tabia za majini wengine ambao wao hawafi mpaka kiama, wakifikia kwenye uzee wanarudi kuwa vijana.

Ikatokea majini hao wakamjua babu yake mzaa babu yako, mzaa babu yake babu yake, wakawa wanaufahamu vizuri ukoo wenu na huenda wamewaona kwa macho hao mababu zako ambao wengine walitangulia mbele ya haki kitambo sana.

Baadae wanapowavamia katika familia yenu au ukoo kwa ajili kuwaletea tabu, anaweza akaja akaigiza sauti ya babu yako au ya bibi yako, unajikuta anaanza kukupa mbalimbali , mara wanataka hiki mara wanataka kile, mara hivi na vile ili mradi waweze kutimiza adhima yao ya kukurudisha nyuma. Shtukaaa!

NB: Unakuta kuna baadhi ya mambo mengine mtu hafanikiwi katika maisha yake kwa vile hawa majini wanaleta matatizo ambao wenye sifa za kujiita mizimu.

(3). KURUKA VITU : Pia vilevile kuna nuksi ambazo unaweza kuzipata kwa kuruka vitu ambavyo vimetegeshwa kwa lengo baya kwa njia ya ushirikina au uchawi kwa ajili ya kumdhuru mtu, hapa unatakiwa utambue kwamba Uchawi upo.

Yawezekana kuna mtu ametegewa sehemu ili uchawi ule uweze kumpata muhusika ambaye sio wewe, alafu unakuta kwa bahati mbaya wewe huna hili wala lile ukiwa katika mizunguko yako ukaruka au kuukanyaga ukawa ni wenye kukupata.

(4). ZINAA : Mtu anaweza akapata nuksi katika kitendo cha kufanya ngono(Zinaa). Unakuta mtu unayeshirikiana nae ana nuksi zake basi inakuwa rahisi kukuhamishia katika mwili wako.

Pale utakapoona una nuksi kwa kuona dalili tulizotaja jua kwamba ipo namna yake ya kuweza kujinasua au kujisaidia katika tatizo la namna hiyo. Wasiliana na PANGA LA SHABA SIMBA WA VITA : +255 683 02 59 06 atakusaidia.

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s