MOYO WA ARDHI : KIBOKO YA UKE NA BAWASIRI

Moyo wa ardhi

Wanakwambia maradhi sikia kwa mwenzako, hakuna mwanadamu anayependa kuteseka na maradhi, sema kwa kuwa hamna jinsi unakuta mtu anahaingaika kwa kila namna kuweza kurudia katika hali yake ya uzima.

Kama unalitambua hilo, mtaalam wa tiba za asili ‘Dokta Mwinuka’ amekuja na suluhisho kwa wanawake wanaosumbuliwa na tatizo la vinyama ukeni na wenye tatizo la Bawasili sugu.

Unachotakiwa kufanya ni kuchukua dawa yako(Moyo wa ardhi), weka maji kiasi na uchemshe vizuri, ukimaliza chuja na weka kwenye chombo safi. Kwa wale wenye tatizo la vinyama ukeni unakunywa na kunawia ukeni, halikadhalika wale wanaosumnbuliwa na Bawasili unatumia kunywa na kunawia sehemu ya haja kubwa.

Kwa Tiba, Ushauri na Maelekezo. : Dokta Mwinuka – : +255 684 65 36 07

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s