ZIJUE FAIDA KUU 5 ZA KUOA

Ndoa

Ndugu yangu fahamu kuwa kuoa kuna faida nyingi mno, lakini hapa tutazitaja chache katika hizo ambazo ni :

  1. Ndoa ni sababu ya kubakia kizazi kikiendelea kuzaana hapa Duniani.
  2. Ndoa ni sababu ya kuhifadhi tupu ya mtu husika kutokana na zinaa,
  3. Ndoa ni sababu ya kuhifadhi macho kunako kutazama vitu vya haramu (Yaani Wanawake wasio halali yako).
  4. Ndoa ni sababu muhimu sana ya kuyaondoa maji yaliyojazana katika mwili wa mtu husika, maji hayo ni yenye madhara makubwa endapo yataendelea kuwepo mwilini, maji hayo si mengine ni manii.
  5. Ndoa ni sababu ya kuustarehesha moyo wako kwa ladha ambayo haielezeki kwa ufasaha wowote bali ladha ile nafsi pekee ndiyo inayoifahamu na kujua kiwango cha ladha hii.

Ndugu msomaji wa blog ya Asili Zetu bila shaka utakuwa umepitia mafunzo haya vizuri ndipo ukaoa au ukaolewa au unajiandaa sasa kuoa au kuolewa.

Kama umekiwa ukipata mitihani ya kupata mchumba sahihi wa maisha au mwenzi wako haeleweki na unahitaji atulie na mtimize ahadi ya ndoa, wasiliana na PANGA LA SHABA kwa simu : +255 683 02 59 06 atakusaidia

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s