UJUE MPANGILIO WA NYOTA YAKO KATIKA NDOA NA MAPENZI

Nyota huchangia katika mahusiano ya Maisha ya Mwanadamu. kwa maana hapa nitafafanua ni nyota zipi kati ya walionazo watu na endapo wakiungana na kuwa wapenzi basi mapenzi yao yatadumu.

NYOTA

Ikitokea wapendanao watakuwa katika nyota ambazo haziendani katika udumu wa ndoa au mapenzi basi wasihofu, zipo njia za kufanya ili mapenzi yao yadumu. Nitazielezea njia hizo ili watu wapate faida.

NYOTA ZIPATANAZO :-

Wenye nyota ya KONDOO ambazo huangukia katika kundi la upepo. Hawa wana bahati kwani wakiolewa au wakibahatika na mwenye nyota yoyote ile basi ndoa au mapenzi yao yatadumu.

Wenye nyota ya KAA kama akimpata mwenye nyota ya NG’OMBE, PUNDA, MASHUKE basi mapenzi yatadumu sana, kwani nyota hizi zinaingiliana katika vitu vingine ikiwemo mapenzi.

Mwenye nyota ya MIZANI ni watu wanaokubalika kote katika hivi kama atapata mtu wa nyota yoyote bila shaka wataendana.

Mwenye nyota ya SIMBA ni watu wanaotawaliwa na ukali na ubishi. Hivyo kama akipata mwenye nyota ya SIMBA mwenzie basi ndoa yao itatawaliwa na migogoro na kama wasipovumiliana basi ndoa au mapenzi yaweza kuvunjika kwani ni mafahari wawili hawataweza kuishi kwenye “Zizi Moja”.

MASHUKE wakikutana na MAPACHA ndoa au mapenzi yatadumu.

SAMAKI na KAA : Mambo poa mapenzi yatadumu.

NG’OMBE : Kama watakutana na mwenye nyota ya MBUZI , SAMAKI, KONDOO mapenzi yao yatadumu.

Unahisi mambo yako hayaendi sawa kwa upande wa mahusiano, kazini au kwenye biashara zako? wasiliana na mtaalam bingwa wa kusafisha nyota Afrika Mashariki na kati, PANGA LA SHABA kwa simu yake ya kiganjani 0683 02 59 06

 

 

 

Advertisements

2 responses to “UJUE MPANGILIO WA NYOTA YAKO KATIKA NDOA NA MAPENZI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s