IJUE DUA ILIYOMTOA BABU SEYA NA MWANAE

Babu seya Papii kocha

HATIMAYE Wanamuziki nguli wa miondoko ya Bolingo, Babu Seya na Papii Kocha wamebahatika kuwa miongoni mwa wafunga waliopata msamaha wa Rais mnamo Dec,09 mwaka huu.

Baada ya kusota kwa takribani miaka 13 na miezi 4 nyuma ya nondo za jela, Wanamuziki hawa waliokuwa wakisumbua na kibao cha SEYA wamerudi uraiani na kuendelea na maisha yao.

Huenda wengi ikiwemo wewe msomaji ulikuwa hujuisiri ya kuachiwa huru kwa Babu Seya na mwanae. Maalim Hashimu baada ya kuwasili nchini akitokea falme za kiarabu alipokuwa akipata masomo ya dini na tiba za Kisunnah.

Alipata ombi kutoka kwa ndugu wa Babu Seya aweze kwenda kuwasomea dua wakiwa jela, licha ya kuambiwa kuwa walifanya jitihada za kuwanasua bila mafanikio. Maalim aliweza kufika na kuwafanyia Dua na kuwambia kabla ya mwezi kuisha watakuwa huru.

Dua za Maalim Hashimu zimeonekana kuzaa matunda baada ya wanamuziki hao wenye asili ya Kongo kuwa huru. Kwa wale wenye kuhitaji kusomewa dua, kuvuta wateja kwenye biashara, matatizo ya kiafya wasiliana nae kwa simu : ++255 783 83 70 93

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s