JIFUNZE KUKUZA MAKALIO KWA NJIA ZA ASILI

Image

Idadi kubwa ya Wanawake Duniani kote hupendelea kutumia muda wao mwingi kujipamba na kujiremba ili waweze kuonekana wenye mvuto kwa wenzi na waume zao, hiyo ni kwa mujibu wa takwimu.

Katika kuzingatia hilo, Daktari bingwa wa tiba za asili na kisunnah Afrika Mashariki na kati, Dokta Nguvumali, akaona atafute njia mbadala ya kuwakomboa Wanawake ambao wanatamani kukuza makalio yao kwa njia salama za asili ambazo hazina madhara.

MAHITAJI

  • Soya Milk
  • Karanga zilizosagwa
  • Ndizi zilizoiva
  • Chungwa au Limao

MAANDALIZI

  • Changanya ndizi, karanga zilizosagwa, maziwa ya soya na lima, kisha saga kwa pamoja kwenye kifaa maalum cha kusagia matunda na nafaka maarufu kama BRENDA
  • Baada ya kusaga na kupata mchanganyiko mzuri waweza kunywa. Kunywa kila siku, utaona majibu yake.

MATOKEO

  • Utakuwa na matako makubwa yasiyo na madhara

Kwa mahitaji ya dawa nyingine za asili za kukuza Makalio, Hips, maziwa na kuwa na muonekano mzuri na kuvutia, wasiliana na Dokta Nguvumali : +255 655 46 04 56

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s