EXCLUSIVE : IJUE SIRI YA DIAMOND KUANIKA UKWELI KUHUSU MTOTO WA HAMISA

Diamond na Hamisa

Staa nyota tajiri wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameweka wazi kuhusiana na tetesi zilizokuwa zimezagaa mitandaoni zilizokuwa zinadai kwamba amezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto.

Akichezesha taya katika kipindi cha leo tena asubuhi ya leo kinachorushwa hewani na kituo cha Clouds fm, Diamond alisema hakuna siku ambayo alikataa ule ujauzito kuwa ni wake na kukiri wazi kuwa ‘Abdul Naseeb’ ni mtoto wake halali.

Akaenda mbele zaidi na kudai kwamba alikuwa akitoa hela ya matumizi ya matunzo ya mama kiasi cha doa 3500(Tsh Milioni 7 za Tanzania) na kumnunulia gari Hamisa aina ya Rav 4 yenye thamani ya milioni 25 za kitanzania.

“Aliniambia ana mimba yangu, nilijua labda sio ukweli lakini baadae nilikubali na nikawa nalea ujauzito, hamisa nilikuwa naye lakini nilimwambia kuwa nina familia yangu kwahiyo hii inabidi ibaki kwetu wenyewe”, alisema Diamond.

Baada ya kuzinyaka taarifa hizi, Blogu ya Asili Zetu iliweza kupata taarifa fupi ya ujumbe kutoka kwa ndugu wa karibu wa Hamisa ambaye hakupenda kutaja jina lake na kuamua kumpigia kwa njia ya simu.

“Haikuwa kazi ndogo kwa Diamond kukiri kuwa ule ujauzito na mtoto ni wake, ilibidi aitwe Sheikh Nurdini kutoka Zanzibar ambaye alifika kwa kina Hamisa juzi na kuangusha Dua ambayo matokeo yake wenyewe mmeweza kuyaona”, alisema mnyetishaji huyo na kukata simu

Asili Zetu iliweza kuwasiliana moja kwa moja na Ostadh Nurdini kupitia simu yake ya kiganjani +255 655 79 33 35 ambaye alikiri kuwa moja ya marafiki wa familia ya Hamisa Mobetto na amekuwa akiwafanyia visomo mbalimbali vya dua.

Ostadh Nurdini amejizolea sifa kubwa ukanda wa Afrika Mashariki na kati hasa kutokana na visomo, dua na dawa za kisuna ambazo amekuwa akizitoa kwa watu wenye matatizo mbalimbali ya mahusiano, biashara, magonjwa, kudhulimwa, kuzima kesi n.k

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s