ZIJUE FAIDA KUU 4 ZA MAFUTA NA MAJANI YA MVUJE KATIKA MWILI WA BINADAMU

mvuje

Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula akishika Mmea wa Mvuje na kupata maelezo yake

Mpenzi msomaji siku  ya leo nimekuletea ujumbe mzuri kutoka kwa Dokta Bingwa wa tiba asili Afrika Mashariki na kati, Suleiman Bin mzee, kuhusiana na faida kuu 4 za mafuta ya mvuje.

Anaeleza kwamba majani haya haswa yalianza kuoteshwa bara hindi na baadae yalipojulikana matumizi na matumizi na faida zake zilichukuliwa mbegu zake na kusambazwa ulimwenguni. Uzuri wa mbegu za majani ya mvuje zinaota popote pale.

FAIDA ZA MAFUTA YA MVUJE YATOKANAYO NA MAJANI YAKE

  1. Huondoa degedege kwa watoto
  2. Mafuta yake ni kinga dhidi ya Jinamizi
  3. Wale wenye tatizo la kuota ndoto mbaya mpatie mafuta ya Mvuje
  4. Maradhi ya kupooza viungo vya mwili(kupararaizi).

FAIDA NA MATUMIZI YA MAJANI YA MVUJE

KUONDOA MADOA NA CHUNUSI : Unatwanga majani yake kisha unakamulia maji ya ndimu na kuyapaka usoni inaondoa machunusi na madoa sugu usoni. Unapakaa kila siku mara 1 mpaka madoa yanapotea.

Unatwanga majani yake na kuychanganya na binzari manjano na Unapakaa usoni kwajili ya kuua chunusi usoni na kuondoa na kuziba chunusi nyingine ambazo zinakua zinataka kujotokeza.

Mchanganyiko huu haswa umewasaidia watu wengi kuua chunusi usoni na mabegani na mgongoni. Pakaa kila siku mara moja mpaka chunusi zinapotea.

KUPUNGUZA UZITO : Pia unaweza kuchukua fungu moja la majani ya mvuje na kusaga na maji katika blender na kumimina kwenye glass na unakorogea kijiko 1 cha asali kwajili ya kupunguza uzito na pia kuondoa cholesterol.

MBOGA : Ukitaka kupata unga wake unakausha majani juani mpaka yanakua makavu, kisha unayatwanga na kuyachunga na kuweka katika kopo safi na kavu. Inafaa kutumia katika michuzi na roast.

Imetolewa na DOKTA SULE : +255 658 87 20 26. Mtaalamu bingwa wa tiba za asili na kisunnah Afrika Mashariki na kati

Pendelea kutumia majani ya mvuje.

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s