ALPHONCE SIMBU AITOA KIMASOMASO TANZANIA LONDON MARATHON

Alphonce Simbu

Mwanaradhia Raia wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu, ameweza kuiwakilisha vyema nchi yake baada ya kukamata nafasi ya tatu na kujitwalia medali ya shaba

Katika mashindano hayo ya jumuiya za madola kwa upande wa mbio ndefu zilizofanyika jijini London, Simbu aliweza kutumia saa 2:09:51 .

Mashindano hayo yaliyopewa jina la London Marathon, ambapo mkimbiza upepo wa Kenya ‘Geoffrey Kirui’ aliweza kutwaa medali ya dhahabu akitumia 2:08:27.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s