ZIJUE DUAA NA ADABU ZA KUINGIA CHOONI

chooni

Wakati unapotaka kuingia chooni unaomba Duaa kabla ya kuingia ili kujikinga na mashaytwani wanaoishi ndani ya vyoo. Wakati unapotaka kuingia chooni unaomba Duaa kabla ya kuingia ili kujikinga na mashaytwani wanaoishi ndani ya vyoo.

بسم الله
اللهم انى اعوذبك من الخبث و الخبائث
BISMILLAH
ALLAHUMMA INNII A’UDHUBIKA MINAL KHUBTH WAL KHABAAITH.

Kwa jina Allah. Ewe Allah najilinda Kwako kutokana na Mashaytwani wa kiume na wa kike.

Ukishasoma ndio unaingia chooni kwa mguu wa kushoto.

Duaa ya Kutoka ndani ya chooni.

غفرانك 
GHUFRAANAK

Nakuomba msamaha (ewe Mola wangu Mlezi)

MIONGONI MWA ADABU ZA KUINGIA CHOONI NI: 

1. Usiingie na kitu chenye jina la Allaah Aliyetukuka

2. Kujisitiri kutokana na watu.

3 Kuingia kwa mguu wa kushoto na kutoka kwa mguu wa kulia.

4. Kutumia mkono wa kushoto kwa kujisafisha tupu.

5. Kuomba kinga kwa Allaah kutokana na mashaytwaan kabla ya kuingia chooni. Ni katika Sunnah kusema kabla ya kuingia chooni hiyo Duaa iliopo hapo juu.

6. Asizungumze kabisa chochote, si adhkaar wala du’aa, hufai kurudisha salaam wala kuitikia Adhaan. Anaweza mtu kuzungumza tu kukiwa na haja ya dharura na inapohitajika kuitika kwa jambo maalum.

NB : tuwafundisheni watoto Duaa hii ili wasidhurike na mashaytwan wa chooni.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s