YAFAHAMU MAFUNDISHO YA MTUME(S.A.W)

Qu-raan
1. Epuka kulala Baina ya Alfajir na Mawio,Alaasir na Magharib, Magharibi na Ishaa.
2. Usidatishe Vidole kabla ya swala na baada ya swala.
3. Kagua Viatu Kabla ya Kuvivaa.
4. Usiangalie Angani wakati Unaswali.
5. Usiteme Mate Katika Tundu la Choo.
6. Usisafishe Meno kwa Mkaa.
7. Kaa Wakati Unavaa Suruali.
8. Usipulize Chakula Kimoto kwa mdomo.
9. Usikinuse Chakula Wakati Unakila.
10. Usiongee Chooni.
11. Usikanyage Ardhi Kwa Kishindo Wakati Unatembea.
12. Usimfukuze Aombaye.
13. Msamehe Aliyekukosea Nawe Allah Atakusamehe.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s