NEYMAR ATUA PSG KWA DAU NONO

Neymar

Mshambuliaji Matata Raia wa Brazil, Neymar Da Silva Santos Jr, ambaye hapo awali alikuwa akichezea Barcelona ya Hispania, hatimaye ametua rasmi katika klabu cha Paris Saint Germany na kuvunja rekodi ya usajali Duniani.

Neymar ametua PSG kwa ada ya uhamisho wa Pauni Milioni 198 kwa mkataba utakaomuweka kilabuni hapo kwa miaka mitano(5), akichukua paundi 500,000 kwa kila wiki akipewa jezi nambari 10 mgongoni.

Ripoti kutoka PSG inaeleza kwamba itamtambulisha mchezaji huyo rasmi kwenye mkutano na waandishi wa habari leo mchana. “Tangu nimefika barani ulaya, PSG imekuwa ni kilabu chenye upinzani na chenye mafanikio”, alisema Neymar.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s