IJUE SIRI NYUMA YA PESA ZA MAYWEATHER

Floyd Mayweather

Siku zote ukitaka kufanikiwa, usiangalie vitu kwa negative way, yaani ukiona mtu kapiga picha na hela, usiseme anajidai, akipiga picha na gari kali, usiseme anakuringishia bali unachotakiwa ni kujiuliza yeye kapataje na mimi nashindwaje?

Huyu jamaa namkubali sana, huwa anasema kwamba anapenda kuonyesha pesa kwa anataka sisi tusiokuwa nazo tuumie na twende kuzitafuta, ila tatizo linalokuja kwa sisi masikini, tunaanza kuangalia jambo kwa negative way.

Anapambana, anakesha gym akichukua mazoezi, wakati mwingine anajinyima akitafuta, kwa nini asiyafurahie maisha? Tunachotakiwa ni kupambana kama yeye kwa kuamini kwamba kuna siku na sisi tutafanikiwa. 

Anaingia ulingoni, anastaafu, akitangaziwa dau anarudi tena, anapambana. Hebu jiulize, una roho ya kupambana? Unaweza kukesha usiku mzima ukifanya kitu ambacho unaamini kitakuingizia pesa?

Watanzania wengi hatuna roho ya upambanaji, tunaridhika, tukiwa na milioni kumi benki tunaona tumemaliza kila kitu. Ndugu zangu, hata ukiwa na trilioni 100, bado utatakiwa kupambana pesa ziongezeke.

Credit : E.J Shigongo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s