YAFAHAMU MAKUNDI 12 SIKU YA QIYAMA

Image1

 

Mtume wetu Swalla Allaahu Wasallam amesema utafufuliwa umati wangu siku ya Qiyama katika makundi 12

1.WANAO WAUDHI JIRANI ZAO : Watafufuliwa katika makaburi yao hawana mikono wala miguu

2.WANAO PUUZA SWALA: Watafufuliwa Siku Ya Kiyama Wakiwa Na Sura Za Nguruwe

3.WANAO ZUIA ZAKA: Watafufuliwa Matumbo Yao Kama Milima Yamejazwa Nyoka Na Nnge

4.WAFANYA BIASHARA WAONGO: Watafufuliwa Katika Makaburi Yao Midomo Yao Ikichuruzika Damu

5.WANAO FICHA MAASI KWA KUOGOPA WATU WALA HAWAMUOGOPI MUNGU: Watafufuliwa Wakiwa Wananuka Sana Kupita Kiasi (Watakuwa Ni Uvundo Wa Hali Ya Juu)

6.WANAO SHUHUDIA UONGO: Watafufuliwa Hali Ya Kuwa Wamekatwa Vichwa Vyao

7. WANAO ZUIA USHAHIDI: Watafufuliwa Siku Ya Kiyama Midomo Yao Inatoka Damu Na Usaha

8. WAZINIFU: Watafufuliwa Katika Makaburi Yao Miguu Yao Ikiwa Kwenye Vichwa Vyao (Na Tupu Walizo Zini Nazo Zimewaganda Katika Miili Yao)

9.WANAO KULA MALI ZA MAYATIMA: Hawa Watafufuliwa Nyuso Zao Ni Nyeusi, Macho Yao Ni Ya Bluu Na Matumbo Yao Yamejaa Moto (Kwa Ndani)

10.MWENYE KUWAUDHI WAZAZI (BABA NA MAMA): Hawa Watafufuliwa Hali Ya Kuwa Wana Ukoma Na Mbalanga

11. MWENYE KUNYWA POMBE: Watafufuliwa wakiwa wana upofu wa moyo na upofu wa macho na meno yao yatakuwa kama pembe za Ng’ombe dume na ulimi wao umerefuka mpaka tumboni na katika mapaja yao na matumbo yao unatoka uchafu

12: WANAO TENDA MEMA NA KUJIEPUSHA NA MAASI: Hawa watafufuliwa katika makaburi yao nyuso zao zinang’ara kama mwezi na watapita katika Swirat kama umeme na watalipwa pepo na msamaha na rehema na kurdhiwa.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s