BUNGE LIMERIDHIA KUVULIWA UANACHAMA WABUNGE 8 WA CUF

Prof Ibrahim Lipumba

Siku moja baada ya spika wa Bunge Job Ndugai kupokea barua kutoka kwa mwenyekitiwa CUF Taifa anayetambuliwa na ofisi za msajili.

Prof.Ibrahim Lipumba inayoeleza kuwafukuza uanachama wabunge wanane wa viti malum na madiwani wawili, Bunge limeridhia.

Taarifa  kutoka ofisi ya Bunge imeeleza kuwa Spika Job Ndugai ameridhia kufutwa uanachama kwa wabunge hao na hivyo nafasi zao ziko wazi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s