TUNDU LISSU AACHIWA KWA DHAMANA

Tundu Lissu

Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika,Mhe. Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana ya Milioni 10 leo,katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo anakabiliwa na kesi ya uchochezi.

Mahakama ya Kisutu imempa dhamana Mh.Tundu Lissu kwa sharti la kuwa na wadhamini wawili watakaosaini dhamana ya thamani ya milioni kumi, Aidha imemtaka Tundu Lissu kutokuondoka nje ya jiji la Dar es Salaam bila kuwa na kibali maalum cha Mahakama.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s