HALIMA MDEE AACHIWA KWA DHAMANA

Halima Mdee

Mbunge wa Kawe Mhe. Halima Mdee ameachiwa kwa dhamana ya Shilingi Milioni 10 pamoja na wadhamini wawili baada ya kusomewa shitaka moja la kutoa lugha ya matusi.

Mbunge huyo wa Kawe alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu hivi leo baada ya kukamatwa na jeshi la polisi wiki iliyopita,ambapo atarudi tena Mahakamani hapo Tar 7 mwezi wa 8 mwaka huu.

Chanzo : EATV

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s