UHUSIANO WA ALAMA ZA KIGANJA NA MAFANIKIO YAKO

Alama za mikono

Angalia katika kiganja chako kama kuna pembetatu au pembe nne ujue wew ni mtu mwenye bahat kubwa kubwa.

Angalia pia katika kidole gumba cha kulia kuna mstari mkubwa ambao umetoka kushoto kwenda kulia kama unavijistari vingi vingi wewe ni mtu ambae katika maisha yako unatakiwa ushike pesa nyingi kwa kazi yoyote unayoifanya{yani wewe ni mwenye bahati na pesa}.

Ikiwa una umbo la pembe tatu au nne kwenye kiganja kisha huoni bahati zozote elewa tu umenyang’anywa na wachawi na akapewa mwingne bila yeye kujua kuwa anatumia bahati zako.

Ikiwa unavijistari hvyo katika kiganja chako na huoni pesa au unapata kidogo elewa nyota yako ilichukuliwa siku 1 ambayo uliombwa na mzee 200 ya kahawa au sigara.

Au uliombwa na mtoto hela ya pipi ukampa 100, 200 au 50 bila wewe kujua kuwa mtoto huyo au mzee huyo ametumwa ila wewe ufilisike na pesa zako ziwe ndogondogo au ukipata nyingi upate matatizo na usizifanyie kitu cha maana.

Maalim Dokta Sule ni mtaalamu wa kusafisha nyota, kuvuta mali za kale zilizofichwa na Wajerumani kama vile Rupia, kagera paundi, fufumani n.k : +255 658 87 20 26.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s