VYAKULA ANAVYOTAKIWA KUTUMIA MWANAMKE WAKATI WA SIKU ZAKE

mwanamke tende

Katika kipindi cha mzunguko (siku za hedhi) kwa kawaida wanawake hupoteza kiasi cha damu pamoja na baadhi ya madini chuma mwilini.

Hali hiyo huweza kusababisha upungufu wa damu kama mwanamke ambaye atakuwa hapati lishe bora na ya kutosha.

Sasa ili kuzuia upungufu wa damu na madini mwilini, msichana anatakiwa kula vyakula vyenye madini chuma na chokaa kwa wingi ikiwa ni pamoja na hivi vifuatavyo:-

Orodha ya vyakula vinavyopendekezwa

  1. Mboga za majani     
  2. Maharage
  3. Soya
  4. Samaki
  5. Maziwa
  6. Korosho
  7. Mayai
  8. Dagaa

Angalizo : Mbali na vyakula hivyo, pia mwanamke huhitaji kuzingatia hali ya usafi wa mwili, hasa sehemu za siri . Tumia vitambaa safi vilivyo nyooshwa kwa pasi au pedi zilizohifadhiwa katika hali ya usafi

Kama wewe ni mwanamke ambaye umekuwa ukiteswa na maumivu ya tumbo kiasi kupelekea kukunyima raha au kutokwa na kiasi kikubwa cha damu wakati upo kwenye siku zako? Wasiliana na Dokta Litaka – 0783 83 70 93 .

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s