USHAHIDI WA QUR-AAN : BAHARI MBILI ZINAPOKUTANA BILA KUCHANGANYIKA

Bahari mbili zinapokutana

Pichani hapo juu ni eneo la bahari kuu ya Pacific imekutana na Atlantic, ndipo pahala zinapoungana ila chakushangaza maji hayachanganyiki, maji ya blue sana ni ya Pacific na yaliyopauka ni ya Atlantic.

Ingawa kuna mawimbi makubwa, mikondo yenye nguvu na kupwa na kujaa katika bahari hizi, hazichanganyiki wala kuvuka kizuizi hiki.

Qur-aan ilieleza kuwa kuna kizuizi baina ya bahari mbili, hazichupi mipaka, Allah Subhana wata’ala amesema.

“Anaziendesha bahari mbili zikutane, baina yao kipo kizuzizi zisiingiliane”(Qur-aan, 55:99-20).

Lakini pindi Qur-aan inapozungumzia kigawanyi baina ya maji baridi na chumvi, hutaja kuwepo kwa kitenganishi kizuiacho na kizuizi pamwe.

“Naye ndiye aliyezipeleka bahari mbili hii tamu mno na hii ya chumvi chungu na akaweka baina yao kinga na kizuizi kizuiacho” (Qur-aan 25 : 53)

HAKIKA MWENYEZI MUNGU NI MKUBWA NA MUWEZA WA YOTE

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s