JAY Z AKIRI MAMA YAKE KUJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA

Jay Z na Mama Yake

Dunia inazidi kufika ukingoni hasa kutokana na yale yaliyotabiriwa na mitume na manabii waliopita kutimia, ikiwemo watu kuthamini pesa kuliko utu, mauaji kuongezeka,  mapenzi ya jinsia moja n.k.

Mwanamuziki nyota wa Marekani ‘Shawn Carter’ AKA Jay Z ambaye ni mfuasi wa imani ya Illuminati, ameweka wazi siri inayohusu mahusiano ya mama yake kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja(Usagaji).

Jay Z ameyasema hayo kupitia albamu yake mpya ‘4:44’ yenye jumla ya nyimbo 10 ndani yake. Mashabiki wa msanii huyo wamepokea kwa hisia tofauti, huku wapo waliomuunga mkono na wengine kumpinga.

Hata hivyo hali ilikuwa tofauti kwa upande wa mama mzazi wa Jay Z, Gloria Carter ambaye hakuonyesha kujali licha ya mwanae kuitangazia Dunia, huku akinukuliwa na mtandao mmoja wa majuu akisema kwamba kila mtu anatakiwa aheshimu hisia zake.

 ASTAGHFIRULLAH

TUMUOMBE ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s