AHUKUMIWA KIFO BAADA YA KUJAMBA MSIKITINI

Waumini

Majaji wa mahakama kuu nchini Pakistan, imemuhukumu mtu mmoja kunyongwa mpaka kufa baada ya kupatikana na hatia ya kujamba mara 17 kwenye misikiti 6 tofauti kipindi cha Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Ramadhani ni mwezi unaoheshimiwa sana na waumini wa dini ya kiislamu Dunia kote ambapo hufunga kwa mwezi mzima, ikiwa ni moja ya sehemu ya kuomba kufutiwa na kusamehewa madhambi.

Jaji alikwenda mbele zaidi na kudai kwamba wakati mtuhumiwa akifanya vitendo hivyo, alipelekea kuwakwaza waumini wapatao 53 waliokuwa wakishiriki nae ibada na kupelekea kukatisha sala wakati wa ibada.

Pia baadhi ya waandamanaji walidai kuwa hiyo ni adhabu ndogo kwa mtuhumiwa,  kwa  kudai kuwa kwa mujibu wa sheria za kiislamu angetakiwa apigwe mawe mpaka kufa.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s