AFUNGA NDOA NA MAMBA

Victor Aguilar

Ukistaajabu ya Mus, utayaona ya Firauni. Dunia haishi vituko kila uchwao, Meya mmoja wa Mexico ametoa kali ya mwaka baada ya kuamua kufunga ndoa ya kifahari na Mamba.

Mamba? unaweza ukajiuliza ni huyu Mamba wa majini? Jibu ni Ndio. Victor Aguilar ambaye ni meya wa jimbo la San Pedro Huamelula alimchukua mamba na kufunga nae ndoa mkoa wa kusini wa mji wa Qaxaca Ijumaa iliyopita.

Ndoa hiyo imeelezwa kuwa sio rasmi bali ni ya kimila ambayo hufanywa kila mwaka kwa ajili ya kusaidia wavuvi kuweza kupata samaki wa kutosha na kuwaondolea na mikosi pindi wanapokuwa kwenye shughuli zao za Uvuvi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s