ZIFAHAMU DALILI 10 ZA MPENZI ANAYECHEPUKA

Usaliti

Miongoni mwa changamoto kubwa ambayo imekuwa ikiwasumbua watu wengi ni mahusiano, basi nimeona nikuletee kwako baadhi ya dalili za mtu aliyechepuka kwenye mahusiano kama zilivyofanyiwa Utafiti na wataalam Duniani.

  1. Akirudi nyumbani hutumia dakika chache  ambazo haizidi moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga.
  2. Mara nyingi mavazi aliyovaa siku hiyo, akishayavua hukimbilia kwenda kuyasokomeza kwenye kapu la  nguo chafu au chumba cha watoto wakati si kawaida yake.
  3. Ukimkazia macho usoni na kumuangalia , hukwepesha macho usoni na kumuangalia, hukwepesha macho yake kwa aibu dhamira anahisi kama umejua.
  4. Hatapenda kukaa sanjari na wewe muwewe kama kawaida yenu.
  5. Kama hatasingizia kuumwa tumbo saa mbili kabla ya kurudi nyumbani, basi atafanya hivyo akishafika tu.
  6. Mara nyingi akiingia ndani breki ya kwanza bafuni, hata kama alishaoga huko, kuondoa harufu ya sabuni ya gesti. Kisha nguo alova siku hiyo zinalowekwa fasta.
  7. Anabadili Nywila(Password) ya simu mara kwa mara, ukigundua mpenzi wako anabadili nywila mara kwa mara ujue kuna kitu anakuficha
  8. Mkiwa pamoja simu yake anaweka mbali, simu ikiita anapokea haraka na anakimbilia nje au chumba kingine kwa ajili ya mazungumzo, anatoa mlio wa simu, wakati mwingine mkuwa pamoja anageuza ili usione ikiita wala ujumbe.
  9. Baadhi ya wenza ni wajanja, ili kufunika kombe mwanaharamu apite hujifanya wanamahaba sana. Utaona mapenzi yanazidi ghafla tofauti na zamani, lengo ni kukufanya usihisi chochote.
  10. Kwa sababu anafahamu kile anachofanya, anadhani na wewe unafanya. Kutokana na tabia yake atakuwa mlalamishi kwa kitu hata jambo dogo la kuzungumza yeye atalalamika ili kukufanya ujisikie vibaya.

Je, unahitaji kumvuta, kumrudisha na kumtuliza mpenzi au mke/mme wako? wasiliana na Dokta Sule : 0658 87 202 26

UKIMWI UNAUA, HAUNA TIBA, TUWE MAKINI

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s