TAHARUKI : VIONGOZI WAWILI WA SERIKALI WAUWAWA KIBITI

Mwigulu Nchemba

Viongozi wawili wamepigwa risasi katika kijiji cha Mangwi kilichopo kata ya Mchukwi wilayani Kibiti usiku wa kuamkia leo(Jumatano).

Waliopigwa risasi wametajwa kuwa ni mtendaji wa kijiji hicho, Shamte Makawa na Mwenyekiti wa Mangwi, Maiko Nicholaus. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amekiri kutokea kwa tukio hilo.

Amesema Polisi wameenda eneo la tukio kwa ajili ya ufuatiliaji na ukaguzi. Jumla ya watu 37 wameuawa kwa kupigwa risasi tangu vitendo vya mauaji vilipoanza katika wilaya za Kibiti, Mkuranga na Rufiji mkoani Pwani tangu Januari 2015 wakiwamo askari 13 wa polisi.

 

Chanzo : Mwananchi.co.tz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s