IJUE SIRI YA USHINDI WA TUZO YA RAYVANNY BET MAREKANI

Rayvanny

Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya msanii Rayvanny kuwasili nchini akitokea Marekani alikoshinda tuzo ya kimataifa ya BET, hatimaye ukweli wa mafanikio ya kutwaa tuzo hiyo umefahamika.

Rafiki wa karibu wa Raymond mwenye makazi yake nchini marekani, ambaye hakupenda jina lake kutajwa, amesema wakati msanii huyo amefika huko, alikuwa akiwasiliana na sheikh mmoja wa Tanzania.

“Unajua tangu Rayvanny amefika Marekani, namuona muda mwingi sana akiwa busy na simu, nilipojaribu kumuuliza akaniambia kwamba kuna Sheikh mmoja anaitwa Sheikh Nurdini ndio anawasiliana nae”.

Baada ya kuzinyaka taarifa hizi, blogu ya ASILI ZETU iliweza kumtafuta Rayvanny na Sheikh Nurdini kupitia namba yake ya kiganjani 0655 79 33 35 kwa nyakati tofauti, walikuwa na haya ya kusema :

Kwanza ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu, isitoshe sisi WCB WASAFI ni watu wenye imani, hivyo masuala ya visomo na dua huwa ni kawaida kwetu, Sheikh Nurdini amekuwa kama ndugu yetu na anatusaidia sana kwa kweli“, alisema Rayvanny.

Kwa upande wa Sheikh Nurdini tulipomtafuta, aliweza kutuambia maneno machache kuhusiana na taarifa hizo:

Sifa zimwendee Allah ambaye ni Mkuu aliye Juu, Rehma na amani zimwendee kipenzi chetu Mtume wetu Muhammad (s.a.w), wale(WCB) wamekuwa sehemu ya familia yangu, nashirikiana nao kwenye mambo mengi, ikiwemo dua, visomo na kusafisha nyota“, alisema Sheikh Nurdini.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s