SHABIKI MAARUFU WA YANGA ‘ALLY YANGA’ AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI

Ally Yanga

Shabiki maarufu wa klabu ya Yanga, Ally Yanga, amefariki Dunia kwa ajali ya gari iliyotokea mpwapwa mkoani Dodoma.

Ajali hiyo imetokea wakati Ally Yanga na wenzake walipokuwa wakitoka Dodoma katika mbio za Mwenge.

Ally Yanga atakumbukwa kwa mbwembwe na machachari yake ya kushangilia pindi timu yake ilipokuwa ikicheza.

inna lillahi wa inna ilayhi raji’un

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s