MJUE ‘MDUDU MTU’ HATARI KWA AFYA YA BINADAMU

Mdudu Mtu

Assalam aleykum ndugu zangu katika imani kuna ujumbe unaoendelea kusambaa kuhusu huyu mdudu anaeonekana hapo juu.

Inasemekana kuwa ni mdudu hatari wanamuita ‘Mdudu Mtu’ anapata katika mboga za majani na mapapai.

Ndugu zangu tuwe makini na tumuombe Allah atuepushe nae, kwani Wanadai kama atapikwa kwa bahati mbaya kwenye mboga basi walaji wote watatangulia mbele ya haki.

Allah Atunusuru

Advertisements

One response to “MJUE ‘MDUDU MTU’ HATARI KWA AFYA YA BINADAMU

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s