KUFUNGA BILA KUSWALI NI SAWA NA KUWEKA SIMU CHAJI BILA BETRI

ibada

Eti ni kweli sisi twampenda Allah kama vile anavyotupenda yeye? utakuta kijana wa leo yupo radhi anunue saa ya elfu 25,000, Tshirt ya elfu 30,000, Suruali elfu35,000, ukija kwenye mawasiliano anayotumia utakuta Tsh500,000/-.

Sasa kwa mfano mdogo tu huu nilioutoa, mtu huyu huyu mfuatilie kwenye suala la utoaji wa sadaka, utakuta mara katoa 500, 200, 100 au kama imezidi sana sana ni shilingi 1000 na sio zaidi ya hapo.

Angalia sasa mtu huyo anadai amefunga huku hafanyi ibada, anakaa kwenye magenge na vijiwe visivyokuwa na staha, anatoa lugha chafu zisizopendeza, ndugu yangu  hapo nisawa na kuchaji simu bila kuwa na betri.

kweli jamani hii ni haki? au mnadhani Allah ni mjomba wetu? Tumwombe Allah atuonyeshe kaqi na atupe hidaya ya kuifuata na mwisho aturuzuku pepo yake kwa rehma zake inshaallah.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s