IJUE TIBA YA KUMUACHISHA KIKOJOZI

Kikojozi
Tukiongelea suala la ukojozi ni jambo zito sana,  kwani huweza kuathiri sana akili ya mtu na kusaabisha uduni wa utendaji na maendeleo. Pia inaweza kusababisha mtu akashindwa kuingia jukumu la ndoa kwa kuhofia aibu na udhalili iwapo mwenza wake akakosa subira.

NINI SABABU YA UKOJOZI ?

    1) ni matatizo ya kibofu cha mkojo kwa mtu kuwa na kazi nyingi na kushindwa kunywa maji mchana, matokeo anakunywa usiku maji mengi na kulala, sasa kwa uchovu wa pilikapilika na ukosefu wa mawasiliano ya ubongo hufanya mtu mkojo umtoke bila kujijua.

  2) majini aina ya subian hao humfanya mtu akawa anaota tukio mfano wa mchezo au safari na kisha kuhitaji kujisaidia akimaliza kujisaidia basi huamka usingizini na kukuta kakojoa kitandani.

TIBA YAKE
kwa kikojozi mwenye tatizo la figo au kibofu cha mkojo, yeye achukue dawa iitwayo KUSTI.

kisha atatwanga na kupata unga, halafu anachota ujazo wa KIJIKO KIKUBWA cha chakula na kuweka katika UJII USIO NA SUKARI halafu anakunywa,

Atadumu kwa siku 21, na ataacha kabisa ukojozi na magodoro yatasalimika.

kama ukojozi wa MAJINI apate MAFUTA ya NYANGUMI na ZAYTUNI awe anapakaa kila wakati wa kulala kwa MWENZI MZIMA na kufanyiwa KISOMO cha siku 3.

Kwa mahitaji ya dawa hii, wasiliana na Dokta Sule : 0658 87 20 26

ALLAH MJUZI ZAIDI

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s