MKE WA MZEE YUSUPH AFARIKI DUNIA

Mzee Yusuph Chiku

Mke wa aliyekuwa mwimbaji nguli wa muziki wa Taarabu nchini, Mzee Yusuph, Chiku amefariki Dunia ghafla usiku wa kuamkia jana.

Chiku ambaye alikuwa mke mdogo wa Mzee Yusuph, baada ya Leila Rashid, alikumbwa na umauti wakati alipokuwa kwenye hatua ya kujifungua.

Watu wa karibu na familia ya Mzee Yusuph wameiambia blogu ya ASILI ZETU kuwa mama na mtoto wote wamefariki Dunia.

Tunatoa pole kwa familia ya Mzee Yusuph kwa kupatwa na msiba mzito na katika kipindi kigumu wanachopitia.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s