BILIONEA MWINGINE WA UGANDA APATA AJALI MBAYA

Huenda akawa sio maarufu sana kwenye vinywa vya watu kwa hapa Tanzania, lakini unapotaja jina la Suleiman Mbuga nchini Uganda, basi bila shaka hata mtoto mdogo anamfahamu.

Suleiman Mbuga

Suleiman Mbuga na mkewe katika pozi

Suleiman Mbuga ni mfanyabiashara mkubwa ambaye alikuwa rafiki kipenzi wa marehemu mume wa Zari ‘Ivan Don’ aliyefariki majuma kadhaa yaliyopita.

Habari mbaya ambazo zinaendelea kuzagaa kwenye vyombo vya habari nchini Uganda ni kwamba ‘Suleiman Mbuga’ amepata ajali mbaya ya pikipiki.

BMW

Pikipiki aliyopata nayo ajali ‘Suleiman Mbuga’ wakati akiifanyia majaribio

Inasemekana pikipiki hiyo ya kifahari aina ya BMW ilikuwa mpya na  alikuwa akiifanyia majaribio karibu na makazi yake ya Buziga. Mbuga amelazwa kwenye hospital ya Nakasero jijini Kampala Uganda.

Pia tumepokea simu kutoka  kwa Ostadh Abdul kupitia namba yake ya kiganjani 0743 53 79 98 akionyesha kuhuzunishwa na tukio lililotokea, hasa ukizingatia Mbuga na Ivan  kuwa wateja wake wakubwa sana. 

Tazama hapo chini uweze kuona majumba, magari ya kifahari na vitu vya thamani anavyomiliki. Tunamtakia apate nafuu na kupona kwa haraka.

Suleiman Mbuga Cars Collection

Sk Mbuga

Suleiman Mbuga Ug

Suleiman Mbuga Cars

Suleiman Mbuga akiwa kwenye pikipiki yake

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s