MBUNGE WA MAREKANI ASHAMBULIWA KWA RISASI

Mtu mwenye silaha ambaye aliwafyatulia risasi wabunge wa Republican wakati wakifanya mazoezi ya mchezo wa baseball mjini Washington DC ameuwa.

Steve Scalise

Mbunge ‘Steve Scalise’ aliyepigwa risasi

Kinara wa walio wengi bungeni Steve Scalise, ni mmoja wa wale waliojeruhiwa wakati wa kisa hicho cha mapema asubuhi katika hustani huko Alexandria , Virginia.

Mshambualiaji ambaye ni mzaliwa wa Illiois , mwenye umri wa miaka 66, aliuawa baada ya ufyatulianaji wa risasi na polisi.

Waliojeruhiwa ni pamoja na polisi wawili.

James T Hodgkinson

Mshambuliaji James T Hodgkinson katika pozi

 

Hodgkinson alikuwa amemfanyia kampeni mgombea urais wa Democratic Bernie Sanders.

Trump alimtembelea bwana Scalise ambaye alipiwa risasi kwenye nyonga na yuko hali mahuti baada ya kufanyiwa upasuaji.

Hospitali ilisema kuwa Bwana Scalise alivunjika mifupa, na kupata majeraha ya viungo vya ndani na hivyo atahitaji upasuaji zaidi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s