JE, UMEKUWA UKITUMA MAOMBI YA KAZI BILA MAFANIKIO? INGIA HAPA

Ajira

Ndugu Msomaji Assalaamu alaykum kwanza tumshukuru Mungu kwa kutupatia furasa nyingie kwa kuwa hai ktika muda huu na kuweza kuendelea na majukumu yetu ya kila siku.

Mpenzi Msomaji unayetembelea blogu ya ASILI ZETU, nimekuletea habari njema kutoka kwa Dokta bingwa Afrika Mashariki na Kati, Suleiman Mzee, kuweza kuwasaidia wale wanaotafuta ajira.

Ifahamike kwamba huduma anazotoa Dokta Sule ni bure kwa wateja wake, mpaka pale utakapoona mafanikio na kuweza kupokea majibu rasmi ya kuitwa kazini kwa ajili ya kuanza ajira.

Katika mahojiano mafupi ambayo tulifanya na Dokta Sule kwa njia ya simu yake ya kiganjani – +255 658 87 20 26 ametueleza mambo mbalimbali kuhusiana na huduma yake ya watu kupata ajira ambayo amekwisha kusaidia mamia ya watu.

Ni kweli kabisa baada ya kuona wimbi kubwa sana la vijana na watu wa makamo wakihangaika kutafuta ajira bila mafanikio, nikaona niwasaidie ili waweze kujikwamua na ndimbwi la umaskini“, alisema Dokta Sule.

Aliongeza kwamba, “unakuta mtu anakila sifa za kupata kazi husika iliyotangazwa, lakini cha ajabu anakwenda kwenye usaili akijiamini kwamba atafanikiwa kupata ajira, lakini mwisho anakuta hajaitwa, hii hali imekuwa ikiwaumiza wengi na mimi pia“.

Baada ya jopo la wataalamu kufanya tathimini ya wananchi wenye ajira hapa nchini, imeonekana ni idadi ndogo ukilinganisha na wale ambao hawana ajira rasmi, kitendo kinachopelekea kushuka kwa uchumi na matukio ya kihalifu.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s