ZIFAHAMU AINA YA NDOTO HATARI AMBAZO UKIOTA UNAPASWA KUCHUKUA TAHADHARI

Ndoto

  1. Kuota unakoroma na unalia kwa uchungu(Ni Ishara kuwa adui anapanga mateso juu yako).
  2. Kuota kuna Vipingamizi vya kuzia usiendelee mbele( Ni Ishara adui anaweka Uzio kwenye Mafanikio yako).
  3. Kuota unakula vyakula usiku (Ni Ishara kuwa umeunganishwa na mtandao wa kiuchawi).
  4. Kuota unapanda mlima kwa taabu sana( Ni Ishara kuwa adui anakufanya uhangaike sana kabla ya kupata riziki).
  5. Kuota uko kwenye Mataa ya Barabarani( Ni Ishara kuwa pana Vikwazo vya kuendelea Mbele).
  6. Kuota umetumbukia shimoni (Ni Ishara kuwa adui ameshakuweka kwenye shimo fulani).
  7. Kuota Upepo Mkali (Ni ishara Mwenyezi Mungu anakwambia Mbele kuna Vita).
  8. Kuota Upepo Mkali (Ni ishara Mungu anakwambia Mbele kuna Vita).
  9. Kuota umebeba mzigo mzito (Ni Ishara adui amekubebesha mizigo mizito).
  10. Kuota kofia yako imechukuliwa na upepo ( Ni Ishara ya kuaibishwa).
  11. Kuota moto mkali unateketeza (Ni ishara ya mashambulizi ya Majanga kutokea).
  12. Kuota unafanya mitihani ila hujamaliza karatasi zikakusanywa (Ni Ishara kuwa matokeo ya kufeli yanakuandama).
  13. Kuota Unasafiri ila hufiki unakokwenda(Ni Ishara adui anarefusha Mafanikio yako yasikufikie haraka).
  14. Kuota umepigwa risasi ( Ni Ishara kuwa adui anakurushia mashambulizi).
  15. Kuota umevaa nguo zilizochanika ( Ni Ishara ya roho ya Umaskini).
  16. Kuota uko kwenye mazingira Yamezungukwa na Vinyesi ( Ni Ishara ya Kuwa shetani anafanya kila awezalo kukuzia Usiende peponi)
  17. Kuota umepoteza pete ya ndoa au gauni ya harusi ( Ni Ishara kuna Mpango wa Mashambulizi dhidi ya ndoa yenu).
  18. Kuota mmevamiwa na kuibiwa ( Ni Ishara kuwa adui anapanga kuwaletea Umaskini au Ufakara na kupungukiwa).
  19. Kuota umeshambuliwa na Paka ( Ni Ishara ya Mashambulizi ya Kichawi).
  20. Kuota umepoteza Fedha (Ni Ishara ya shambulio juu ya uchumi).

Zipo ndoto nyingi na za aina mbalimbali ambazo Ostadh Nguvumali amekuwa akitumiwa na wasomaji wa blogu ya ASILI ZETU.

Ostadh Nguvumali hutafsiri ndoto, husaidia wale wanaota ndoto mbaya, kusafisha nyota, mvuto wa biashara, pete ya bahati na pesa za majini : 0655 46 04 56.

 

Advertisements

2 responses to “ZIFAHAMU AINA YA NDOTO HATARI AMBAZO UKIOTA UNAPASWA KUCHUKUA TAHADHARI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s