NDESAMBULO KUAGWA LEO VIWANJA VYA MAJENGO MOSHI

Philemon Ndesamburo

Mwili wa Mbunge Mstaafu wa Moshi Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa kilimanjaro, Mhe.Philemon Ndessamburo ambaye alifariki Dunia wiki iliyopita mkoani Kilimanjaro akiwa ofisini kwake, unatarajiwa kuagwa mapema hii leo kwenye viwanja vya majengo.

Mzee Philemon Kiwelu Ndesamburo alizaliwa February 19, 1935. Alikuwa mwanasiasa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) pia kufadhili mambo mengi kupitia chama hicho.

Mwaka 2000 alifanikiwa kuchaguliwa na wananchi wa Moshi mjini kuwa mbunge wao mpaka mwaka 2015 alipoamua kwa ridhaa yake kutogombea tena jimbo hilo.

inna lillahi wa inna ilayhi raji’un

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s