MAMBO 5 MUHIMU YA KUFANYA PINDI UTAKAPOONA MWEZI WA RAMADHANI.

Ramadhan Kareem

Nakuusia umsujudie Allah sijda ya ukweli kumshukuru pamoja na kunyenyekea mambo manne.

  1. Mshukuru Allah kwa kukufikisha mwezi mtukufu kwani wangapi hawakuushudia mwezi huo. Allah kakuchagua wewe pamoja na kukukirimu kwa kuufikia mwezi huu mtukufu,  kwa sababu amekupenda,  anataka kukusamehe,  pamoja na kukuachia huru na moto.
  2. Muombe Allah akusaidie akuafikishe ktk kutenda mema,unayoyajua na usioyajua na akufanyie wepesi ktk kufanya mambo ya kheri.
  3. Kushukuru neema kubwa iliokuzunguka katika utulivu na amani, maji, chakula,ndugu na jamaa.
  4. Pia kumshukuru kwa kukupatia kivuli, kwani nchi ngapi leo wanatamani utulivu na hawana?. Allah ana uwezo wa kutufanyia na sisi kama alivyo wafanyia wao? Kuwa mkweli pamoja na Allah.
  5. Weka nia ya kua itakua ramadhani bora kwako wewe kwa kujitahidi zaidi na zaidi.

Weka nia ya kua itakua ramadhani bora kwako wewe kwa kujitahidi zaidi na zaidi.Usiikose fursa hii kubwa kwani tukiikosa sasa hatujui km tutaipata mwakani.Kua na yakini ya kwamba Rab Rahim Alkarim atakulipa kwa lolote utakalo tenda.

Allahumma ballighna ramadhan.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s