MKUNAZI – MTI KIBOKO YA MAJINI NA MASHWETANI

Mkunazi

Unaweza ukajiuliza Mkunazi ni nini? Je, ni sababu zipi zikaufanya mti huu kuwa wa kipekee tofauti na mingine? Unapoongelea Mkunazi ni ule mti ambapo Allah ameuita Sidrat L Muntaha – mti unaomaliza mambo yote au mwisho wa mambo.

KWA NINI MAJINI NA WACHAWI HAWAPENDI MTI HUU?

Mti huu huwa unapendwa sana kukaliwa na malaika wakubwa kama RAUQAYAAIL, SAMSAMAAIL, GHANAAIL, ISRAHAMAAH, DARDAAIL.

Majini wote waasi na wachawi huwa wanapofika mahali penye mti wa mkunazi hawawezi kukaa wala kusimama mahala hapo  na ndiyo maana Mkunazi unapo kuwepo basi katika nyumba hiyo huwa hafiki mchawi wala shetani.

FAIDA YA MKUNAZI

 1. Majani yake ukiloweka na kuogea iwapo utasomea aya za qur aan basi utaepukwa na kukaliwa mbali majini aina 10 wakorofi ambao ni
 • Jalwush
 • Ummu muldami 
 • Ankis 
 • Ghaughaan 
 • Bedui bidwaan 
 • Makata wa makatani
 • Maymuna l hind’
 • Zawaabil 
 • Atruush
 • Subyaan

Majini hao kamwe hawata mdhuru tena mtu iwapo atafanyia kisomo maalum cha KHAWAATIMU katika maji yaliyo lowekwa majani ya mkunazi.

2.Pia majani ya mkunazi iwapi unaumwa KIFUA SUGU lakini si pumu, chemsha pamoja na ndimu kisha unywe kwa siku 14 utapona.

3.Kama unawangiwa  au kutembelewa na wachawi mara kwa mara basi chukua majani ya Mkunazi.

Weka HAIJALI na FAYJALI loweka pamoja na usomee kisomo cha KHAWAATIMU,  kisha umwage ndani ya nyumba au shamba na wachawi  hawatokujia tena kukudhuru.

4.Tabia ya mti huu ni ajabu sana kama ulivyo mti wa MZAYTUNI,  mtu mwenye roho mbaya akipanda basi mti huu hauoti na mchawi akipita katika eneo lenye mti huo, basi ajue mtukuta asubuhi, na hatoondoka mpaka wachawi wenzake waje wamlipishe faini.

Kwa wenye mahitaji ya kupatiwa tiba, wasiliana na Dokta Sule : 0658 87 20 26

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s