DRAKE ATWAA TUZO 13 ZA BILLBOARD

Drake

Mwanamuziki nyota wa Marekani, Drake, amefanikiwa kutwaa jumla ya tuzo 13 za muziki zijulikanazo kama Billboard Music Awards 2017.

Rekodi hiyo inamuweka Drake kileleni na kumfanya kuwa miongoni mwa wanamuziki bora kuwahi kutokea kwenye karne hii.

Pia amefanikiwa kuivunjilia mbali rekodi iliyowekwa na mwanamama Adele ambaye aliwahi kunyakua tuzo 12 kama hizo.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s