PICHA : YANGA MABINGWA VPL, WAPOKELEWA KWA SHANGWE NA MASHABIKI JNIA

mashabiki wa Yanga

Klabu ya Yanga, imewasili jijini Dar es Salaam na kupokewa kwa shangwe Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, wakitokea Mwanza walikomalizia mchezo wao wa mwisho wa ligi kwa kuvaana na Mbao FC.

 Yanga imetawazwa kuwa mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara(VPL) kwa mara tatu mfululizo, ikiwa ni siku chache kupita tangu kupata mkataba mnono na kampuni ya mchezo wa kubashiri ya sportpesa.

wachezaji wa yanga

msafara wa yanga

 Credits : Saleh Jembe

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s