KUMFANYA MPENZI AKUPENDE KUPITA KIASI NA KUKUPA HELA HATA KAMA BAHILI

mahusiano

Pole na mvua za masika mpenzi wasomaji wa blogu ya ASILI ZETU, ningependa kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu na kutoa pole zangu za dhati kwa wenzetu wa Tanzania Visiwani(Zanzibar) waliokubwa na mafuriko.

Katika jamii tunayoishi hakuna mtu asiyependa kupendwa, pia utakubaliana na mimi hata kwenye masuala ya mahusiano upendo ndio nguzo kuu ya kuweza kudumisha mapenzi baina ya wapendanao.

Dokta Sule amenitumiwa ujumbe na kuniagiza niwafikishie namna unavyoweza kumfanya mtu akazidisha mapenzi zaidi, akiwa amelenga zaidi kwa matabaka yote, upande wa mahusiano, ndugu hata kazini.

MAHITAJI

 • Mwiba wa Nungunungu
 • Kitambaa chekundu
 • Tunda aina ya Tofaa
 • Majina yake na mama yake
 • Karatasi nyeupe

MATUMIZI 

 • Andika majina hayo kwenye karatasi kwa kutumia zafarani nyekundu
 • Kata Tofaa na ingiza karatasi kwa ndani
 • Choma mwiba wa Nungungu huku unamwita jina lake mara saba(x7)
 • Funga vitu hivyo kwenye kitambaa chekundu kafukie juu ya kaburi kongwe
 • Ondoka bila kugeuka nyuma
 • Kabla hazijahitimu siku 3 utapata majibu  mubashara

Kwa wale watakaohitaji msaada, wasiliana na Dokta Sule : 0658 87 20 26

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s