JE, UNAHITAJI KUWA MWEUPE BILA MKOROGO? SOMA HAPA

Mkorogo1

Ifanye Ngozi Yako kuwa nyeupe bila mkorogo

Hatua za kufuata:

Mahitaji:

  1. Asali kijiko kimoja cha chai
  2. Juisi (maji maji ya limau) kijiko kimoja cha chakula
  3. Maji ya uvuguvugu kiasi

Jinsi ya kutengeneza mchanganyiko wako

1. Changanya juisi ya limau na asali katika chombo kimoja kisafi na uchanganye ukitumia uma au kijiko cha kawaida kwa dakika kadhaa.

Matumizi
1. Osha uso vizuri ukitumia sabuni (kama unapata sabuni ya habbat soda inakuwa vizuri zaidi) na maji ya uvuguvugu kisha jifute na kitambaa kisafi
2. Jipake ule mchanganyiko wako usoni na maeneo yote ya shingoni taratibu huku ukijimasaji hivi kwa dakika 10
3. Osha uso kwa maji safi, mwisho jifute kwa taulo safi

Mhimu: Fanya zoezi hili kwa wiki mara 1 mpaka mara 3 na matokeo yake utaniletea hapa hapa

Advertisements

One response to “JE, UNAHITAJI KUWA MWEUPE BILA MKOROGO? SOMA HAPA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s