JE, UNA TATIZO LA KUPOTEZA KUMBUKUMBU? TIBA YAKO IKO HAPA

Image1

Kupoteza kumbukumbu ni uwezo mdogo wa kuhifadhi kumbukumbu kwa ajili ya matumiz ya akili.

Kuna kupoteza kumbukumbu ya jambo lililo tokea siku nyingi (long term memory) au jambo ambalo halijapita hata sekunde thelathini ukawa umelisahau (short term memory)

SABABU HUA

> UZEE

> MADAWA YA PRESSURE AU MADAWA YA MAUMIVU

> AJALI ZILIZO ATHIRI SEHEMU ZA UBONGO

TIBA YAKE  

Chukua ROSE zile  tunda zake. zilivyo zipo kama KOROSHO zilizo banguliwa.
kisha awe anatafuna 21 asubuhi na usiku baada ya kula  kwa muda wa mwenzi mzima 30 siku.

Kupaka kichwan ataondoa nywele kichwani kwanza awe UPARA kisha tumia MAFUTA YA ROSE na ZAYTUNI akiwa anatafuna tunda hizi ale mbegu hizi basi anakua anapakaa kichwan hayo mafuta yatasaidia.

1 )  kuimarisha mishipa ya ubongo 

2 )  kurejesha kumbukumbu 

3 )  kuongeza fahamu na akili

4 )  kujenga ubongo 

Kwa Maoni, Ushauri na Tiba : 0658 87 20 26

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s