DOGO MFAUME AFARIKI DUNIA

Dogo Mfaume

Mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa mnanda, Dogo Mfaume ambaye alijizolea umaarufu na kibao cha kazi ya dukani, amefariki Dunia.

Kifo cha Dogo Mfaume kimetokea katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Ndugu wa karibu wamesema marehemu aligundulika kuwa an uvimbe kwenye ubongo kabla ya umauti kumfika.

Mazishi yake yanatarajia kufanyika Chanika mkoani Dar es salaam.

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji’un

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s